Posts

Showing posts from March, 2024

BUHURI TANGA YAWAPA ELIMU WAFUGAJI WA NG'OMBE MUHEZA JUU YA BORA YA UZALISHAJI WA MAZIWA .

Image
Na Denis Chambi,Tanga. WIZARA ya mifugo na Uvuvi  iko mbioni kuja na mradi wa kuwakopesha wafugaji Ng'ombe wa maziwa hapa nchini hii ikiwa na dhamira  Serikali ya kuwasaidia kuondokana na ufugaji wa mazoea ili waweze kupata faida zaidi. Hayo yamebainishwa na Katibu mkuu wizara ya mifugo na uvuvi Prof. Riziki Shemdoe wakati akifungua semina ya kuwapa elimu wafugaji wa wilaya ya Muheza mkoani Tanga  iliyoandaliwa na  Wakala wa mafunzo ya Mifugo LITA kampasi 'BUHURI'  kwa lengo la kuwapatia njia bora ya kutumia katika kujihusisha na ufugaji wa kisasa ambapo amesisitiza ushirikiano baina ya wadau ,  wafugaji na serikali ili kuwezeaha kuinua zaidi sekta hiyo.  Alisema wizara mifugo  na uvuvi inakuja na mradi mahususi wa kuwakopesha wafugaji  Ng'ombe  wa kisasa  wa maziwa ambao watatakiwa kulipa kupitia maziwa watakayozalisha  ambapo mchakato huo utakamilika hivi karibuni Mkoa wa Tanga ukiwa ni miongoni mwa wanufaika. "Tuna mradi mwi...